Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Nyie mnashindwa kushinda kwa Mkapa hamfai kuchukua kombe kabisaWanatukomeshaaa[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie mnashindwa kushinda kwa Mkapa hamfai kuchukua kombe kabisaWanatukomeshaaa[emoji23]
Wazee huo moshi uwanjani wa nini?Dakika ya 89'
Bro mbona unatoa siri zangu na unajua wote tunafuatilia huu uzi?Kuna mzungu ananiambia hawa waarabu ni watu wapumbavu sana. Anaona kinachofanyika na mashabiki ni upumbavu wa kiwango cha juu.
Yanga kwisha habari yake.Dakika ya 89'
Ana goli la ugenini moja
Mwenzake anayo ya ugenini mawili...
Hilo suala inabidi caf walitoleee maelezo linavuruga mchezoMoto umewaka sasa kivumbi uwanjani...Moshi mwingi hatari...
Mkuu bila mbinu za kivita hapa hatutoboi.Wazee huo moshi uwanjani wa nini?
Au ni station yangu
Utopolo wamejitahidi sanaKuna mzungu ananiambia hawa waarabu ni watu wapumbavu sana. Anaona kinachofanyika na mashabiki ni upumbavu wa kiwango cha juu.