Nashangaa yaan kuna nchi inaelekea hawana shobo na mpira sijui. Hafu uwanja mzuri knm.Mbona future hawana mashabiki uwanja mweupe kbs
Hao Future (Coca Cola FC) wamepanda daraja 2020/21 kwahiyo ni team ndogo.Cha kushangaza waliojaa ni watanzania hapo uwanjani
Na Singida weshakuwa na goli la ugenini tayariSingida 2 Future 1 kwa jumla
Nilichojifunza Kwa Afrika nzima,Kuna nchi chache zenye Mashabiki loyal,Tanzania tupo vyema hapoMbona future hawana mashabiki uwanja mweupe kbs
Wakitoka Future 2 Singida 1 kuna matuta?Waongeze mawili zaidi
Naunga mkono hojaHii Singida ndio ilitakiwa kucheza klabu bingwa afu Simba acheze shirikisho...😅
Hii isue ya goal la ugenini siipendi.Na Singida weshakuwa na goli la ugenini tayari
Watakuja 🤣🤣Hii Singida ndio ilitakiwa kucheza klabu bingwa afu Simba acheze shirikisho...😅
Kwa sasa tupo vema. Tuna ligi nzuri mchawi national team tu.Tanzania football giant wa Africa mashariki
Shauliyao na pira papatu papatu😅Watakuja 🤣🤣