Future ni timu ndogo Misri, hao mashabiki watoe wapi?Mbona future hawana mashabiki uwanja mweupe kbs
Ni penalty kaka.Penalty ya nini wakati offside
Dah!Figisu zimeanza future anapata penati
Yes.2-2 on aggregate faida bado kwa SBS goli la ugenini
Nashindwa kuamini simba tulimuacha beno tukamleta Ayubu