FT: CAFCC: Future FC 4-1 Singida Big Stars FC, Agg: 4-2. Singida ayaaga mashindano

FT: CAFCC: Future FC 4-1 Singida Big Stars FC, Agg: 4-2. Singida ayaaga mashindano

Kipindi cha pili kimeanza
 
Nashindwa kuamini simba tulimuacha beno tukamleta Ayubu
 
Ili Future apite, ni mpaka amfunge Singida goli tatu ... la sivyo Singida to group.
 
Ata wakipata bado watahitaji goli moja zaidi
 
2-2 on aggregate faida bado kwa SBS goli la ugenini
 
Back
Top Bottom