Kocha kawapa maneno gani sijui HTSingida wasela tu hii game walisha ikamata sijui shida ni nini second half
10Aisee wako 9 ndani ila
Hapo na kipa
Kilichofanya wasicheze klabu bingwa ni kipi ?Hii Singida ndio ilitakiwa kucheza klabu bingwa afu Simba acheze shirikisho...😅
Singida wasipofuzu wajilaumu wenyewe.Washapewa red cards mbili hao Future na bado Singida wanapelekewa moto.
Ukibaki hivi hivi Future kapita?Dk 80" ubao bado 3-1
Una hoja mkuu, hawa wengine waendelee tu kuchangamsha NBC league.Simba na yanga waachiwe kuwakilisha nchi hawa wengine hapana
Hii Singida ndio ilitakiwa kucheza klabu bingwa afu Simba acheze shirikisho...😅
Uwezo hawana. Yani hawa hata wakipewa reds tatu hawatoboi.Singida wasipofuzu wajilaumu wenyewe.
AiseeSingida wamepoteana ile rythm walomaliza nayo first half haipo