FT: CAFCC: Future FC 4-1 Singida Big Stars FC, Agg: 4-2. Singida ayaaga mashindano

Kwani wakati anacheza msimu uliopita hukumuona.mbona ni mchezaji mzuri.Mpira hauwezi kukuendea sawa siku zote.Ata wewe kuna muda haufanyi kazi zako sawa na siku zingine.Kwenye mpira kina changamoto nyingi.tuheshimu mpira wake.
Siku muelewa tangu msimu uliopita ila alibebwa na magoli yake tu,, ni mchezaji wa kawaida sana
 
Ukiangalia hii game ya singida na future ndio unakuja kuamin kweli mpira Ni Akili ,mwili na misuri tuwaachie bondia [emoji23][emoji23][emoji23]...

Ndio utofauti WA mpira WA kitabuni na mpira WA mchangani .....Akili vs nguvu [emoji23][emoji23][emoji23]

Watoto wadogo kabisa wale WA future wako pungufu lakin watembeza ball chini mbele ya vifutu na miili mikumbwa kama ng'ombe kina kagere ,....

Vitoto vikiwa pungufu vinapiga team ya wanaume kamili 11 uwanjan ...Tena Kwa pass mtelezo bila kuhangaika
 
Punguza dharau.
Sasa Simba na Singida tofauti yenu ni nini?, Bora Singida alishinda dar... Simba imefuzu kwqkushinda mechi gani au ni ubunge wa viti maalum vya CAFπŸ˜…
 
Madogo walicheza soccer aisee
 
Tulijipa matumaini feki. Timu ina akina Kagere (miaka 39), Kaseke (miaka 37), Benno (aliyekaa benchi miaka 5), ... ingewezaje kutoboa?
 
β€ŠKw

Kwasababu Simba alipata viti maalam... Kwani Simba ni Bingwa?.
Muhimu kafuzu hatua ya makundi ya Cacl...........hayo mengine mbwembwe tu
 
Kazi ipo. Hatuna budi kujipendekeza kwa Wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…