matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
😂😂😂😂BOSI WA SINGIDA AWEKEZE PESA KWENYE KILIMO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂BOSI WA SINGIDA AWEKEZE PESA KWENYE KILIMO
Siku muelewa tangu msimu uliopita ila alibebwa na magoli yake tu,, ni mchezaji wa kawaida sanaKwani wakati anacheza msimu uliopita hukumuona.mbona ni mchezaji mzuri.Mpira hauwezi kukuendea sawa siku zote.Ata wewe kuna muda haufanyi kazi zako sawa na siku zingine.Kwenye mpira kina changamoto nyingi.tuheshimu mpira wake.
Wangese hao Singida. Bora warudi tu wakakamue mafutaChumaaa future 3 singida 1
hizi akili au matope??Hii Singida ndio ilitakiwa kucheza klabu bingwa afu Simba acheze shirikisho...[emoji28]
Sasa Simba na Singida tofauti yenu ni nini?, Bora Singida alishinda dar... Simba imefuzu kwqkushinda mechi gani au ni ubunge wa viti maalum vya CAF😅Punguza dharau.
Tofauti ya Simba na Singida ni ipi?, Bora na Singida kashinda mechi moja.... Kuna mechi Simba imeshinda?hizi akili au matope??
Duroo kwoteTofauti ya Simba na Singida ni ipi?, Bora na Singida kashinda mechi moja.... Kuna mechi Simba imeshinda?
Madogo walicheza soccer aiseeUkiangalia hii game ya singida na future ndio unakuja kuamin kweli mpira Ni Akili ,mwili na misuri tuwaachie bondia [emoji23][emoji23][emoji23]...
Ndio utofauti WA mpira WA kitabuni na mpira WA mchangani .....Akili vs nguvu [emoji23][emoji23][emoji23]
Watoto wadogo kabisa wale WA future wako pungufu lakin watembeza ball chini mbele ya vifutu na miili mikumbwa kama ng'ombe kina kagere ,....
Vitoto vikiwa pungufu vinapiga team ya wanaume kamili 11 uwanjan ...Tena Kwa pass mtelezo bila kuhangaika
Kwasababu Simba alipata viti maalam... Kwani Simba ni Bingwa?.Kilichofanya wasicheze klabu bingwa ni kipi ?
Ndio ujue Simba amepata viti maalum kuingia group stage...😅Duroo kwote
Muhimu kafuzu hatua ya makundi ya Cacl...........hayo mengine mbwembwe tu Kw
Kwasababu Simba alipata viti maalam... Kwani Simba ni Bingwa?.
Yaan Beno unamlinganisha na Ayubu😅Tulijipa matumaini feki. Timu ina akina Kagere (miaka 39), Kaseke (miaka 37), Benno (aliyekaa benchi miaka 5), ... ingewezaje kutoboa?
Sawa wabunge wa viti maalum CAF.... Pira papatu papatu😅Muhimu kafuzu hatua ya makundi ya Cacl...........hayo mengine mbwembwe tu