FT: CAFCC: Simba SC 2-0 CS Constantine | Estadio Benjamin Mkapa | 19.01.2025

No body in No body out
🦁 ushindi lazima!!
Screenshot_20250119-122040~2.jpg
 
View attachment 3205833

Wawakilishi wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho barani Africa, Simba SC leo wataingia uwanjani kupambana na CS Constantine kutokea Algeria kwenye mechi ya mwisho ya makundi

Mechi hiyo ni muhimu kwa timu zote mbili kwani ndio itakayoamua nani ataongoza kundi lao. CS Constantine wapo nafasi ya kwanza na Simba wapo nafasi ya pili

Kabumbu hilo ambalo litapigwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam litaanza saa kumi jioni

Ungana nami katika kufuatilia mpambano huo

Ubaya Ubwela
Nimejitoa kushabikia mpira kwa muda.
 
Hongereni Simba kwa hatua hii mliofika.

Sasa mpambane tu muongoze kundi.
Lion king.jpeg
 
Back
Top Bottom