FT: CAFCC: Simba SC 2-0 CS Constantine | Estadio Benjamin Mkapa | 19.01.2025

Jana shetani aliniambia matokeo ni
FULL TIME
Yanga 0-0 Algers.

Leo kaniambia
FULL TIME
Simba 1 - 0 Constantine.
 
Supu imeyeyuka
mpenjatv_-20250119-0001.jpg
 
Tuwe makini na mkakati wa Waarabu,Tulipeleka timu mbili kwao,Safari hii timu zao mbili zimekuja kwetu.
Eti kupitia Dar es Salaam, wote wanataka waende robo fainali.!!!
 
Ni mimi ambaye sijaelewa au? Unataka kuizuia timu iliyofuzu robo fainali kufuzu robo fainali?
 
Back
Top Bottom