FT: CAFCC: Simba SC 2-0 CS Constantine | Estadio Benjamin Mkapa | 19.01.2025

FT: CAFCC: Simba SC 2-0 CS Constantine | Estadio Benjamin Mkapa | 19.01.2025

Usiwadanganye wenzako. Simba hawana timu, huwa wanapita kimazabe sana. Juzi mlikuwa mkisema wenyewe timu mbovu, leo yamekuwa haya baada ya kushinda?
Mimi hata ningekuwa siko Yanga, siipendi acheni kuna wachezaji. Hapa Aucho kule Mzize Babeki.
Naomba Simba iwagawie na Tabora United mazabe yao.
 
Back
Top Bottom