FT: CAFCC: Simba SC 2-0 CS Constantine | Estadio Benjamin Mkapa | 19.01.2025

FT: CAFCC: Simba SC 2-0 CS Constantine | Estadio Benjamin Mkapa | 19.01.2025

Hakuna mtu asiyetambua umuhimu wa Kibu D ndio maana jana kuna shabiki wa utopolo nilikua nimekaa nae karibu kamtukana kocha huku macho kayatoa, "Huyu kocha si amuingize Kibu Dennis ndio dakika zake, nikamjibu kwa upole Kibu Dennis haruhusiwi kucheza huku kwani yeye yuko Simba nikamuona kanyweea huku akivuta punzi ndefu🤣🤣🤣
 
Ni kwa ajili ya "thupu"?
😂😂😂
IMG-20250119-WA0030.jpg
 
Usiwadanganye wenzako. Simba hawana timu, huwa wanapita kimazabe sana. Juzi mlikuwa mkisema wenyewe timu mbovu, leo yamekuwa haya baada ya kushinda?
Mimi hata ningekuwa siko Yanga, siipendi acheni kuna wachezaji. Hapa Aucho kule Mzize Babeki.
Hawa jamaa wanajenga team.
 
Back
Top Bottom