Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 1,115
- 2,464
Hamna kitu hii timu Simba kama sio uzembe ilikuwa inafungika kwao mbonaDaah hapa simba tukomae tu na bravos, huyu constantine anaonekana mgumu mno, bravos kashakula chuma nne huko
SaanaaHii inafaida kwa vyura?
Droo!!!
Maana yake? 😀😄😆
Yanga to quarter finalDroo!!!
Maana yake? 😀😄😆
Yes, lakini mfano... tuki...Hii inafaida kwa vyura?
mkuu nimecheka sanaDaah hapa simba tukomae tu na bravos, huyu constantine anaonekana mgumu mno, bravos kashakula chuma nne huko
Safari ya Yanga imeishia hapa, Mc Alger alichobakiza ni kushinda mechi yoyote kati ya mbili, Sioni Yanga akishinda kwa Al HilalSio kweli anatakiwa ashinde mechi moja kwa ushindi wa goli lolote lile hata ikiwa goli moja na mechi moja pekee ndio inatakiwa ashinde goli 3:0
Kumbuka Al Hilaly bado hajafuzu!! Ataua mtu kwao kule.Yes, lakini mfano... tuki...
Na Mc Alger aki...
Basi tunapita..
..Ni Hayo Tu!!
Maanake nafasi ya pili bado ipo wazi, match day 5 inaenda kutoa mwanga ila Yanga imepata ahueni wanatakiwa wakapambane haswa mechi inayofuata amfunge Al HilalDroo!!!
Maana yake? [emoji3][emoji1][emoji38]
mwisho wa siku tunafuzu kwa point 8 wewe wa 9 una bakiBado nyie ni marehemu mechi 4 mna point 4
Na yanga akishinda zote mbili?Safari ya Yanga imeishia hapa, Mc Alger alichobakiza ni kushinda mechi yoyote kati ya mbili
View attachment 3193689
Bado nia ya kutaka kumaliza group stage kwa kuongoza kundi itawapa motisha Al Hilal kukaza mechi ya mwisho labda kama wamfunge Mazembe mechi ijayo. Hesabu bado ni ngumu kwa uto.Hapa Al hila ili awe na amani inabidi ashinde akija kwa watani awe karelax. Adui wa Yanga awe Mc.
Al Hilal anatakiwa ashinde ajitenge kabisa. Sisi tutampiga hapa MC Alger, then ataenda kudraw na Mazembe. Halafu sisi tutadraw na Al Hilal. Tutakua na point 8 nyuma ya Al HilalKumbuka Al Hilaly bado hajafuzu!! Ataua mtu kwao kule.
Timu zina badilika hasa raundi ya pili kila mmoja anakuwa kaisha mjua mwenzake, Bravo aliyeisumbua Simba mpaka kuomba mpira uishe ni nani angetegemea kama ingekula mvua ya magoli?Hamna kitu hii timu Simba kama sio uzembe ilikuwa inafungika kwao mbona
Simba ana hali ngumu sanaDaah hapa simba tukomae tu na bravos, huyu constantine anaonekana mgumu mno, bravos kashakula chuma nne huko
Unatamani iwe hivyo,ila haya matokeo ahueni kwa Yanga na Mazembe angeshinda kweli ila kwa haya matokeo yanawapa nguvu Yanga na Mazembe kupambana.Safari ya Yanga imeishia hapa, Mc Alger alichobakiza ni kushinda mechi yoyote kati ya mbili
View attachment 3193689
Halafu Yanga yeye afanyeje? Mkuu huna akili ya mpira!Safari ya Yanga imeishia hapa, Mc Alger alichobakiza ni kushinda mechi yoyote kati ya mbili
View attachment 3193689
Caf wanaangalia head to head na sio magoli. Yanga ili afuzu inabidi amfunge al hilal 3 bila.anahitaji point 1 tu na magoli walau 3.
ili asifikiwe.
Akipoteza leo, akipoteza kwa Yanga akidroo na Mazembe haipiti.