FT: CAFCL - Al Hilal Vs MC Algier | (1-1)

FT: CAFCL - Al Hilal Vs MC Algier | (1-1)

Sio kweli anatakiwa ashinde mechi moja kwa ushindi wa goli lolote lile hata ikiwa goli moja na mechi moja pekee ndio inatakiwa ashinde goli 3:0
Safari ya Yanga imeishia hapa, Mc Alger alichobakiza ni kushinda mechi yoyote kati ya mbili, Sioni Yanga akishinda kwa Al Hilal

1736110701327.png
 
Hapa Al hila ili awe na amani inabidi ashinde akija kwa watani awe karelax. Adui wa Yanga awe Mc.
Bado nia ya kutaka kumaliza group stage kwa kuongoza kundi itawapa motisha Al Hilal kukaza mechi ya mwisho labda kama wamfunge Mazembe mechi ijayo. Hesabu bado ni ngumu kwa uto.

Binafsi napenda kifo cha uto kinavyocheleweshwa.
 
Kumbuka Al Hilaly bado hajafuzu!! Ataua mtu kwao kule.
Al Hilal anatakiwa ashinde ajitenge kabisa. Sisi tutampiga hapa MC Alger, then ataenda kudraw na Mazembe. Halafu sisi tutadraw na Al Hilal. Tutakua na point 8 nyuma ya Al Hilal
 
Hamna kitu hii timu Simba kama sio uzembe ilikuwa inafungika kwao mbona
Timu zina badilika hasa raundi ya pili kila mmoja anakuwa kaisha mjua mwenzake, Bravo aliyeisumbua Simba mpaka kuomba mpira uishe ni nani angetegemea kama ingekula mvua ya magoli?
 
Back
Top Bottom