FT: CAFCL - Al Hilal Vs MC Algier | (1-1)

Mazembe miaka kadhaa sasa imepoteana siyo ile Mazembe ya miaka ile.kwa sasa wanaanza kujenga team upya. Yaani kiuwezo hata Yanga ipo vizuri sana kuliko Mazembe hii ya sasa hamna team hapo. Hii Mazembe hata Yanga ikicheza nao mara 5 itawafunga tu.
Wamefungiwa kusajiri na pia waliwauza wale wachezaji wa kikosi cha kwanza kabla hawajafungiwa wengi unaowaona wamepandishwa kutoka Don bosco timu yao ya mazembe na pia pana kipa kutoka Nigeria anacheza kama striker maana hawana wafungaji na wapo kwenye kifungo wakina kinzubi walishauzwa na Adelepo..
 
Hawa washenzi wariruhusuje goli?

Itakua ule mpango wao wa kuwakanda utopolo hapo kwa mkapa upo palepale
 
Al hilal anacheza na yanga kabla ya kukutana na mazembe.

Al hilal hawezi kukubali kumaliza nafasi ya pili ili akutane na al ahly au esperance atataka amalize wa kwanza apate unafuu
Anahitaji draw kuongoza kundi. Na hapo bado ana game na Mazembe home.
 
Kwenye mechi mbili Simba kutafuta point 1 ni hali ngumu?

Kama mwenye point 9 ana hali ngumu vipi mwenye point 4 hali yake ipoje?
Sasa nyinyi ndio mnakwenda KUTOKA tunza hii comment screenshot kabisa
 
Ibenge hawezi kufungwa kwao nyie Uto, acheni ndoto za mchana.
Huna akili wewe. Nyie ndio mlikaririshwa huwezi kupata matokeo ugenini sisi ndio ndio tukaja kuwaaminisha inawezekana. Leo wewe unaharisha nini hapa na huna unalojua
 
Mwenye 4 ana ari, nguvu na uwezo. Huyu mwenye 9 anabangaiza na kubahatisha.

Usiniulize kama ana ari, nguvu na uwezo kwann ana 4? Jibu ni kwamba gari lake lilichelewa kuwaka.

Hivi sasa hata Real Madrid anapigwa mkono
Huyo mwenye 4 anacheza na wasiokuwa na hali sio?
 
Reactions: G4N
Msimu uliopita si ilicheza Nusu final ya CCL? Team ya hivyo unaiitaje mbovu!?
Wamefungiwa kusajiri na pia waliwauza wale wachezaji wa kikosi cha kwanza kabla hawajafungiwa wengi unaowaona wamepandishwa kutoka Don bosco timu yao ya mazembe na pia pana kipa kutoka Nigeria anacheza kama striker maana hawana wafungaji na wapo kwenye kifungo wakina kinzubi walishauzwa na Adelepo..
 
Yaani unaichukulia poa TP Mazembe iliyocheza semi final last season 😂🤣
Basi wazuri ni Makolo wanashiriki mashindano ya akina mama
"Wamefungiwa kusajiri na pia waliwauza wale wachezaji wa kikosi cha kwanza kabla hawajafungiwa wengi unaowaona wamepandishwa kutoka Don bosco timu yao ya mazembe na pia pana kipa kutoka Nigeria anacheza kama striker maana hawana wafungaji na wapo kwenye kifungo wakina kinzubi walishauzwa na Adelepo.."
 
Kundii gumu , Kama sio gamondi kushindwa kusimamia nidhamu yanga angeongoza hili kundi lakini bado njia ipo wazi .
 
Msimu uliopita waliishia hatua gani CCL?
Kama shida ni kufungiwa wamefungiwa muda mrefu na kikosi cha msimu uliopita ndo hikihiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…