Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Wamefungiwa kusajiri na pia waliwauza wale wachezaji wa kikosi cha kwanza kabla hawajafungiwa wengi unaowaona wamepandishwa kutoka Don bosco timu yao ya mazembe na pia pana kipa kutoka Nigeria anacheza kama striker maana hawana wafungaji na wapo kwenye kifungo wakina kinzubi walishauzwa na Adelepo..Mazembe miaka kadhaa sasa imepoteana siyo ile Mazembe ya miaka ile.kwa sasa wanaanza kujenga team upya. Yaani kiuwezo hata Yanga ipo vizuri sana kuliko Mazembe hii ya sasa hamna team hapo. Hii Mazembe hata Yanga ikicheza nao mara 5 itawafunga tu.