Mtani huyobloo vipi mbona unatukana kiaina?π
Zalan Part TwoHakuna timu hapa genge la wahuni tu
Hii mechi nayo ni ya kuanzishia uzi kweli?
Kajenjere sijui anachelewa wapi kupita mitaa ya avic abebe hizi rejectedMimi ni YANGA lia lia ila mzize na musonda ni takataka
Aibuuuuuuuuuuu,Hii mechi inahitaji bahasha. Utopolo tunaweza kuishia kagoli kamoja
AtajinyeaAibuuuuuuuuuuu,
Pyeeeeeeeeee
2-0
Mnacheza na timu level za Mabibo Combine