FT: CAFCL: Asas Djibouti FC 0-2 Young Africans SC | Azam Complex | 20/08/2023

FT: CAFCL: Asas Djibouti FC 0-2 Young Africans SC | Azam Complex | 20/08/2023

Hapo mnatoka draw. Hakuna ushindi kwa Young Africans.

Msemaji mkuu wa Simba s.c kupitia taasisi ya kimtandao jamii forums. @leftyie.worldie
Hata mechi ya Zalan ilikuwa hivyo. Hii ni CAF champion league. Msiongee sana
Mpira hauchezwi kwa mdomo. Kwenye ngao ya hisani mlikuwa kimya.
Kumbuka kuweka maneno ya akiba
 
Sasa kwa nini wasichezee hata Ethiopia au Kenya kwa majirani zaidi? Uto kama kawaida katembeza bahasha.
 
Duhh
Screenshot_20230820-190617.png
 
Back
Top Bottom