FT: CAFCL: Asas Djibouti FC 0-2 Young Africans SC | Azam Complex | 20/08/2023

FT: CAFCL: Asas Djibouti FC 0-2 Young Africans SC | Azam Complex | 20/08/2023

Yanga mkumbuke mwaka huu mkijilegeza hamuendi confederation. Tunataka muone ilivyongumu kuingia robo fainal champion.
 
Hata mechi ya Zalan ilikuwa hivyo. Hii ni CAF champion league. Msiongee sana
Mpira hauchezwi kwa mdomo. Kwenye ngao ya hisani mlikuwa kimya.
Kumbuka kuweka maneno ya akiba
Hatuongei kwa kuropoka ama kubishana bali kwa umakini, na uchambuzi yakinifu. Hii michuano ya CAF hakika ni mtihani mgumu kwa klabu ya Young Africans.
 
Mashabiki wa Yanga hawana tofauti na forward ya timu yao.
Forward butu kwenye ufungaji
Mashabiki nao ni butu kuchangia kwenye threads zao online. Ona kama uzi huu ulivyo doda, majority ya waliourefusha hata kufikia hapa ni Mashabiki wa Simba.
Sijui Mashabiki wa Yanga wanashindwa kujinunulia bundle? Au labda wengi siyo internet and technology savvy.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]hawana furaha na ushindi wao maana walidhani watashinda 5 au sita expectations zimekua hovyoo
 
Hatuongei kwa kuropoka ama kubishana bali kwa umakini, na uchambuzi yakinifu. Hii michuano ya CAF hakika ni mtihani mgumu kwa klabu ya Young Africans.
Mtu akisoma hapa atafikiri Simba aliwahi kuleta kombe. Iwe shirikisho au club bingwa, simba kaishia robo fainali. Shirikisho Yanga kafika fainal msimu uliopita, ukishindwa kuona hii tofauti basi kichwa chako ni mzigo kwa shingo. Ningekuelewa ungesema kuwa, kwa sasa Yanga inashida katika umaliziaji ningekuelewa, game ya leo Yanga alipaswa kufunga magoli zaidi na pia alipaswa kumpasua Simba ndani ya dk 90 ile game iliyopita.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2722987

Updates

62' Mabadiliko Yanga: Wanatoka Mzize na Max wanaingia Moloko na Pacome

53: Asas FC 0-2 Yanga

52' Goaaaal: Musonda

Kipindi cha pili kimeanza

Halftime: Asas FC 0-1 Yanga

45' Asas FC 0-1 Yanga

25' Kadi ya njano: Mwamnyeto

Asas FC 0-1 Yanga

22' Goaaaal: Aziz Ki

20' Asas FC 0-0 Yanga

10' Asas FC 0-0 Yanga

5' Asas FC 0-0 Yanga

Mabingwa wa Tanzania, Young Africans almaarufu kama Yanga jioni hii wanaingia uwanjani kapambama na mabingwa wa Djibouti, Asas FC kwenye mechi ya hatua ya awali ya michuano ya CAF Champions League

Katika mechi hiyo itakayochezwa katika dimba la Azam Complex, Asas FC watakuwa wapo nyumbani na Yanga wakiwa ni wageni

Asas FC walichagua kutumia uwanja wa Azam kama uwanja wao wa nyumbani baada ya viwanja vya kwao Djibouti kukosa sifa za kutumika kwa mashindano haya

Mechi hii itaaanza kuchezwa kuanzia saa 11 jioni kwa saa za Afrika Mashariki
Safi
 
Thread ya Simba kwenye mechi ya Ligi Kuu ina wachangiaji wengi kuliko Yanga kwenye hii mechi ya kimataifa.
Simba ina Wachangiaji mara mbili zaidi.
Huenda kama siyo Manara kwenda Yanga kuichangamsha, basi ingezidiwa mashabiki na hadi na Singida Fountain
 
EDEN RAGE
 
Back
Top Bottom