The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Musondaaaaa
Hii ndio yanga [emoji172][emoji169][emoji3577]
Mtapata tabu sanaaa 💚💚💛💪Bado sana aisee
Mtapata tabu sanaaa [emoji172][emoji172][emoji169][emoji123]
Wewe ni msahaulifu, kuna timu ya wafugaji iliwabandua pale taifa na mkatoka kwenye mashindano.Mnacheza na timu level za Mabibo Combine
Hata mechi ya Zalan ilikuwa hivyo. Hii ni CAF champion league. Msiongee sanaHapo mnatoka draw. Hakuna ushindi kwa Young Africans.
Msemaji mkuu wa Simba s.c kupitia taasisi ya kimtandao jamii forums. @leftyie.worldie
Unanikumbusha mechi ya Zalan. Kilichofuatia ni safari ya shirikisho.Yanga mnapiga mabomu mochwari...
Endelea tu kukariri kila mchezo una plan zakeDakika hizi tulishamfunga Horoya 7!