Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
Sisi hatutaishia roboYanga mkumbuke mwaka huu mkijilegeza hamuendi confederation. Tunataka muone ilivyongumu kuingia robo fainal champion.
Sisi hatutaishia roboYanga mkumbuke mwaka huu mkijilegeza hamuendi confederation. Tunataka muone ilivyongumu kuingia robo fainal champion.
Sasa hao vilaza mnashindwa kuwafunga hata 4...Ushaona au bado?
Hatuongei kwa kuropoka ama kubishana bali kwa umakini, na uchambuzi yakinifu. Hii michuano ya CAF hakika ni mtihani mgumu kwa klabu ya Young Africans.Hata mechi ya Zalan ilikuwa hivyo. Hii ni CAF champion league. Msiongee sana
Mpira hauchezwi kwa mdomo. Kwenye ngao ya hisani mlikuwa kimya.
Kumbuka kuweka maneno ya akiba
Yanga alikuwa ugenini, week ijayo atakuwa yupo nyumbanihii game yanga alikua home au awau?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]hawana furaha na ushindi wao maana walidhani watashinda 5 au sita expectations zimekua hovyooMashabiki wa Yanga hawana tofauti na forward ya timu yao.
Forward butu kwenye ufungaji
Mashabiki nao ni butu kuchangia kwenye threads zao online. Ona kama uzi huu ulivyo doda, majority ya waliourefusha hata kufikia hapa ni Mashabiki wa Simba.
Sijui Mashabiki wa Yanga wanashindwa kujinunulia bundle? Au labda wengi siyo internet and technology savvy.
ushinde magoli yote hayo kwani unacheza na viwete au?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]hawana furaha na ushindi wao maana walidhani watashinda 5 au sita expectations zimekua hovyoo
Mtu akisoma hapa atafikiri Simba aliwahi kuleta kombe. Iwe shirikisho au club bingwa, simba kaishia robo fainali. Shirikisho Yanga kafika fainal msimu uliopita, ukishindwa kuona hii tofauti basi kichwa chako ni mzigo kwa shingo. Ningekuelewa ungesema kuwa, kwa sasa Yanga inashida katika umaliziaji ningekuelewa, game ya leo Yanga alipaswa kufunga magoli zaidi na pia alipaswa kumpasua Simba ndani ya dk 90 ile game iliyopita.Hatuongei kwa kuropoka ama kubishana bali kwa umakini, na uchambuzi yakinifu. Hii michuano ya CAF hakika ni mtihani mgumu kwa klabu ya Young Africans.
Kufika fainali ni kuchukua Kombe?Yanga kafika fainal msimu uliopita...
SafiView attachment 2722987
Updates
62' Mabadiliko Yanga: Wanatoka Mzize na Max wanaingia Moloko na Pacome
53: Asas FC 0-2 Yanga
52' Goaaaal: Musonda
Kipindi cha pili kimeanza
Halftime: Asas FC 0-1 Yanga
45' Asas FC 0-1 Yanga
25' Kadi ya njano: Mwamnyeto
Asas FC 0-1 Yanga
22' Goaaaal: Aziz Ki
20' Asas FC 0-0 Yanga
10' Asas FC 0-0 Yanga
5' Asas FC 0-0 Yanga
Mabingwa wa Tanzania, Young Africans almaarufu kama Yanga jioni hii wanaingia uwanjani kapambama na mabingwa wa Djibouti, Asas FC kwenye mechi ya hatua ya awali ya michuano ya CAF Champions League
Katika mechi hiyo itakayochezwa katika dimba la Azam Complex, Asas FC watakuwa wapo nyumbani na Yanga wakiwa ni wageni
Asas FC walichagua kutumia uwanja wa Azam kama uwanja wao wa nyumbani baada ya viwanja vya kwao Djibouti kukosa sifa za kutumika kwa mashindano haya
Mechi hii itaaanza kuchezwa kuanzia saa 11 jioni kwa saa za Afrika Mashariki
Nyuma kuna mwikoDaima mbeleeeeeeee!!
Ki Aziz
EDEN RAGEThread ya Simba kwenye mechi ya Ligi Kuu ina wachangiaji wengi kuliko Yanga kwenye hii mechi ya kimataifa.
Simba ina Wachangiaji mara mbili zaidi.
Huenda kama siyo Manara kwenda Yanga kuichangamsha, basi ingezidiwa mashabiki na hadi na Singida Fountain