Uto mnaendeleaje hukoAl Ahly nipigie hao Wydad waliomtoa Masandawana [emoji51]
freshUto mnaendeleaje huko
Mmeanza kupona pona?fresh
ndioMmeanza kupona pona?
[emoji23][emoji23]Yeyote ashinde tu
USM bingwa
Kulikuwa na mgogoro mmoja ulitokea ulivuruga sana mechi kwenye moja ya fainali za CAF ndio hapo wakaamua wakae waangalie namna ya kutatua changamoto ni kuweka fainali mbili.Msimu ujao CAF wapitie upya Sheria ya Goli la ugenini kama walivyofanya kwingineko.