FT | CAFCL Final: Al Ahly SC 2-1 Wydad AC | First leg 04/06/2023

FT | CAFCL Final: Al Ahly SC 2-1 Wydad AC | First leg 04/06/2023

Kona inapigwa Al Ahly wanakuwa wakwanza kupiga kichwa, kipa anaudaka
 
Hii ni VAR room au internet cafe?

Naona screen ime display Google hapo?

Hizi mi ndio maana nazitilia mashaka huwenda ni CCTV ila bado hatujajua
 
Ambaye ni USM ALGER
Hizo medali za CAF ndio tushavaa,so aliye kula kala haijalishi kiasi gani ila ndio kishakula.

Point ya kunote kutoka CAF.
Screenshot_20230604_192518_Instagram.jpg
 
23'
Faulo inafanyika baada ha mchezaji wa Al Ahly kufanya madhambi hapa karibia na box kwenye eneo lao
 
Hawa wangekutana na Simba saizi tungekuwa tunaongea mengine, wengine wangesema tumewapulizia sumu
 
26'
Al Ahly bado wanaliandama lango la Wydad
 
Hii fainal itakuwa na magoli mengi kwa inavyo onekana.
 
27'.
Freekick wanaoata Al Ahly hapa eneo la karibu na 18
.
 
Zingatia hilo first ever ndio la muhimu, sasa utachagua hiyo first ever uitumie kwenye, CAFCL or CAFCC.
First ever kwenye mashindano gani?

Hili ndio la muhimu
 
29

Freekick inapigwa hapa mpira ukaenda kwenye mikono ya mchezaji wa Al Ahly

Penatiiiiii

Mchezaji kaaadhibiwa kwa kadi ya njano
 
Refa anaenda kujihakikishia tena kwenye VAR kama ni penati halali au la
 
Lile rilefa la jana hata kuangalia VAR halikutaka [emoji196][emoji196]
 
Majibu ya Refa baada ya review ni kwamba ile ni penati

Na kadi ya njano haijafutwa
 
Back
Top Bottom