FT | CAFCL Final: Al Ahly SC 2-1 Wydad AC | First leg 04/06/2023

FT | CAFCL Final: Al Ahly SC 2-1 Wydad AC | First leg 04/06/2023

Majibu ya Refa baada ya review ni kwamba ile ni penati

Na kadi ya njano haijafutwa
Hapana kuna confusion hapa, refa kaamua kuwa sio penati
 
Game mbovu kinoma wamekutana wote wazee wa figisu Kila mmoja anamuotea mwenzake refa naye mwarabu naona kama game umeshaanza kumuelemea.
 
34'
Freekick wanapiga Wydad, kipa anakuwa wakwanza kuudaka mpira.

Ni shuti la kwanza kwa Wydad
 
35'
Mchezaji wa Al Ahly amechezewa faulo kwa kuteguliwa mguu ndani ya box lakini refa hajafunika tuta
 
Wydad wamebadilika ghafla
 
39'
Wydad wanakosa bao la wazi hapa mshambuliaji alikuwa yeye na kipa lakini kamlenga kipa
 
40'

Wydad wanapiga kona

Mpira unaenda eneo la mbali na kuklsa madhara
 
41'
Mchezaji wa Wydad anaadhibiwa kwa kadi ya njano baada ya kucheza rough dhidi ya mchezaji wa Al Ahly ambaye amefanya rough ya makusudi kama kisasi baada ya kufanyiwa rough halafu refa hajapuliza filimbi
 
Mcheza kwao hutuzwa sema Al Alhy lazima ashinde hii game japo Kwa mbinde
 
Dakika 5 zimeongezwa
 
45+4

Al Ahly

Goooooooooooal.

Ni free header
 
Back
Top Bottom