FT | CAFCL Final: Al Ahly SC 2-1 Wydad AC | First leg 04/06/2023

FT | CAFCL Final: Al Ahly SC 2-1 Wydad AC | First leg 04/06/2023

Al Ahaly anaongoza lakini hana Amani.

Hawa Waarabu wanajuana Aiseee maana Hata Mashabiki waketulia hawa vurugu [emoji23][emoji23][emoji23]

Hii Yanga Wangekutana na Wydad hii au Al Ahly ingekuwa balaa
 
Halafu kuna vitoga wanasema eti wamefika fainali kwasababu ya ubora

Umefika fainali kwasababu hujakutana na Wydad, Al Ahly, Al Hilal, Mamelody, Raja.

Unamfunga River na ile Marumo timu ya uzaramuni halafu unakuja kuvimba?

Eti nimevaa medali. Medali bila ubingwa ni shanga tu.
Duuh...mkuu punguza dozi, ndugu zetu Hawa buana
 
Aisee hii highlights ya Brazil na Tunisia hapa DSTV imeniacha hoi hapa kwenye goli la kufutia machozi walilofunga Tunisia
 
Uzi umejaa mipasho jamani kuna watu bado wana maumivu sana😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
We mbona tulikuvumilia na ile picha yako "kwa mkapa hatoki mtu"
 
45'

Kipindi cha pili kimeanza

Al Ahly 1-0 Wydad

Ngoja tuone kama Wydad wataweza kusawazisha au kama Al Ahly wataongeza magoli ili kujiweka vizuri kwenye hatua ya mwisho ya fainali ambayo utachezwa Morroco
 
46'
Wydad wanafanya shambulizi kwa mpira wa kichwa unaenda juu ya lango
 
48'
Wydad wanakosa nafasi ya wazi hapa, mpira unalenga mashavu ya goli
 
Serikali yetu ijifunze yaani uwanja wa Al Alhy kama ulaya... Quality ya Hali ya juu sana
Nilikuwa naangalia highlights za mechi ya under 17 kama sikosei DSTV walirusha baada ya halftime

Ilikuwa ni Brazil dhidi ya Tunisia, uwanja ni mbovu kishenzi yani ule wa Ihefu ni bora kuliko huu
 
🤣🤣🤣🤣🤣hee ile si slogan tu jirani. Sasa nyie kila mechi mnalalamika waarabu kuchapwa kwao kamoja
We mbona tulikuvumilia na ile picha yako "kwa mkapa hatoki mtu"
 
Al Ahaly anaongoza lakini hana Amani.

Hawa Waarabu wanajuana Aiseee maana Hata Mashabiki waketulia hawa vurugu [emoji23][emoji23][emoji23]

Hii Yanga Wangekutana na Wydad hii au Al Ahly ingekuwa balaa
Utopolo na mpira wao wa kitoto kukamia na kukimbizana bila mipango hawana quality ya kucheza na hizi timu.

Saizi ya utopolo united ni Marumo na rivers![emoji23]
 
Back
Top Bottom