FT | CAFCL Final: Al Ahly SC 2-1 Wydad AC | First leg 04/06/2023

FT | CAFCL Final: Al Ahly SC 2-1 Wydad AC | First leg 04/06/2023

Kambaaaaaaaaaaaaa![emoji1659][emoji1659][emoji1659][emoji123][emoji123]
 
61'

Wydad wamenusurika kufungwa bao latatu.

Wameokoa mpira umeenda nje na kuwa kona
 
wacha nikalale ....ila Hawa Al ahly aisee wanacheza mpira tuache utani 🙌
Kila mchezaji anamrahisishia mwenzake Cha kufanya awapo uwanjani ...
Kila mtu ana akili ya mpira ......ball control, ufundi mwingi, na maamuzi kwenye miguu Yao ......
Inshort jamaa wanajua .....👏🙌
 
62'

Refa naye anabalamsi mchezo.

Mchezaji wa Al Ahly alikuwa anakimbuza mpira kwenda kushambulia, mchezaji wa Wydad kaja kuingilia kwa kumtegua mguu

Refa ameuma filimbi
 
Nilikuwa naangalia highlights za mechi ya under 17 kama sikosei DSTV walirusha baada ya halftime

Ilikuwa ni Brazil dhidi ya Tunisia, uwanja ni mbovu kishenzi yani uke wa Ihefu ni bora kuliko huu
Nimeona pia sijui pale ni wapi
 
Huyu el shahat amepiga shuti Kali na likawa on target hapa ....halafu namuona anaomba sorry Kwa wenzake ....dah 😂🙌
 
Back
Top Bottom