FT | CAFCL Final: Al Ahly SC 2-1 Wydad AC | First leg 04/06/2023

FT | CAFCL Final: Al Ahly SC 2-1 Wydad AC | First leg 04/06/2023

68'

Wydad wanafanya shambulizi wanaoiga shuti linagonga mwamba na mpira unaenda nje na kuwa goal kick
 
Kama Alhaily aliweza mfunga WAC kwake it means anaenda kuchukua kombe...huyo WAC atulie mwanza...
 
Nilikuwa naangalia highlights za mechi ya under 17 kama sikosei DSTV walirusha baada ya halftime

Ilikuwa ni Brazil dhidi ya Tunisia, uwanja ni mbovu kishenzi yani uke wa Ihefu ni bora kuliko huu
Mkuu , ni uke wa Ihefu au ule wa Ihefu. Rekebisha kidogo hapo
 
72'
Al Ahly wanapiga shuti kipa anaudaka.

Kioa kama kawaida yake alitoka golini ila round hii amekuwa na bahati
 
Ikumbukwe Simba ilishaongoza kundi Ilimokuwepo Alhaly...
Huna akili hawa al ahly kwenye hizo hatua zenu za robo kuja chini anakuaga wakawaida tu msimu huu yenyewe nusura ashike mkia kwenye kundi alikula 5 na maswandana
 
Freekick wanapiga Wydad
 
77'

Wydad wanafanya shambulizi hatari kipa anaokoa
 
Duuh huyu mchezaji kashika mpira kabisa kama anacheza handball
 
85'

Goooooooooooal

Wydad wanapata bao la kwanza hapa
 
Halafu kuna vitoga wanasema eti wamefika fainali kwasababu ya ubora

Umefika fainali kwasababu hujakutana na Wydad, Al Ahly, Al Hilal, Mamelody, Raja.

Unamfunga River na ile Marumo timu ya uzaramuni halafu unakuja kuvimba?

Eti nimevaa medali. Medali bila ubingwa ni sawa na shanga tu.
Mkuu ,umeumia sana kuliko yanga
Pole ndio mpira huo sio kila siku utakua wewe
 
Back
Top Bottom