Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Na mwakani mtatolewa tena CAFCL ili muende CAFCC?Mwakani tena na watazidi kuumia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mwakani mtatolewa tena CAFCL ili muende CAFCC?Mwakani tena na watazidi kuumia.
enhee majibu?Nitakuja kukujibu baadaye
[emoji23][emoji23]Ila ukiwaangalia hawa na ukijiangalia uliokua unacheza nao unajiona nyaa..
Sijamtaja mtu
Kwani Al Ahly wao hawatapata goli kule?Al Alhy washaitia game ugumu, Wydad wanahitaji goli moja wabebe ndoo.
Mantiki ya kuweka goli la ugenini ni ili kuipa hamasa timu ngeni kushambulia badala ya kupaki basi wakisubiri kwenda kucheza kwaoUsikurupuke, mi sio Yanga wala sio Simba. Huwa sioni tu kwanini mmoja apite Ilhali aggregate ni sawa. UEFA walibadili hii Sheria. Game haiwezi kuwa the same, yaani kwa kuwa tulitoka moja moja kwangu kwako tutoke bilabila Mimi niwe nimepoteza. Why? Kuna factors mbalimbali zinazoaffect Hali ya mchezo hadi kuona variation
Nitakuja kukujibu baadaye
Mgogoro ulitokea mwaka jana ambapo bingwa aliibuka kuwa ni wydadLini huo mgogoro? Ilikuwa nani vs nani? Mgogoro ulihusu nini? na je wawakilishi wa vilabu walipitisha hii kanuni
Haina logic hio kituMantiki ya kuweka goli la ugenini ni ili kuipa hamasa timu ngeni kushambulia badala ya kupaki basi wakisubiri kwenda kucheza kwao
South America huwa wanafanyaje?Hili swala limekaa kiuchumi zaidi, waafrika wengi bado hawana neema ya kusafiri kwenda neutral grounds tofauti na ulaya, hivyo mapato hupotea sana.
Piga mahesabu Fainali ya CAFCC ingechezewa Misri, ni wangapi Tz wangeenda kuujaza uwanja?
Asante nimeelewa kiundaniMgogoro ulitokea mwaka jana ambapo bingwa aliibuka kuwa ni wydad
Kivipi?
Kabla mashindano hayajaanza ya champions league, uwanja wa mohamed V ndio uliyeuliwa kuhost fainali
Kwa bahati nzuri, wydad akaingia fainal dhidi ya al ahly; kasheshe ilianza pale ambapo al ahly waliweka hoja kuwa wydad atakuwa na hom advantage wkt sheria inasema uwanja uwe neutral (kumbuka uwanja uliteuliwa hata kabla ya mashindano kuanza?
Ikawaje
Siku ya fainal kulikuwa na vurugu nyingi kiasi kwamba hata ilipotokea al ahly wamepigwa goli, hoja yao ikawa ni wydad kapendelewa na CAF
SOLUTION YAKE?
Fainali ichezwe mara mbili kama ilivyokuwa nyuma ili kila mmoja awe na hiyo hom advantage kuepusha malalamiko
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
hata wao wana Leg 2South America huwa wanafanyaje?
Baada ya wazungu kuitoa ndio umeanza kuona haina logic?Haina logic hio kitu
Ni kwamba hivi Mei 15 mwaka jana Al Ahly alikata rufaa CAS dhidi ya maamuzi ya CAF kwa kitendo chake cha kuchagua Morroco kama host wa finalenhee majibu?
Nchi masikini huwezi kuchezesha fainal neutral ground, itakuwa ni biashara kichaa.South America huwa wanafanyaje?
Hata Asia? Na North America je?Nchi masikini huwezi kuchezesha fainal neutral ground, itakuwa ni biashara kichaa.
Ya africa ndio yaleyale ya South America.
Kwa mujibu wa utetezi wa CAF kwenye ile kesi wao walidai katika wanachama wake 54 ni nchi mbili tu ambazo zilikuwa zimetimiza vigezo vya kuwa host.Nchi masikini huwezi kuchezesha fainal neutral ground, itakuwa ni biashara kichaa.
Ya africa ndio yaleyale ya South America.
Wanaweza pata ila wa nyumbani ana advantage kubwa ya kupata matokeo mazuri.Kwani Al Ahly wao hawatapata goli kule?
Hatuna kiwanja cha kuridhisha team zitakazocheza fainali, kila mmoja ni lazima atatoka na kisngizio cha uwanja.Kwa mujibu wa utetezi wa CAF kwenye ile kesi wao walidai katika wanachama wake 54 ni nchi mbili tu ambazo zilikuwa zimetimiza vigezo vya kuwa host.
Nchi hizo ni Morroco na Senegal
Hata hivyo CAF walisema Egypt hawakuwasilisha ofa yeyote kuwania nafasi hiyo
Sasa nikijaribu kufikiri hapo kwa upande wetu ina maana wakina Karia walishindwa kweli kutuma maombi?
Au waliyuma halafu hayakukidhi vigezo?
Swli linalokuja hapo ni mbona saizi tunaomba host ya mashindano makubwa zaidi au kwakua tupo team?