Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣Yoyote ashinde tuu...Simba ilishawafunga hao kila mmoja kwa wakati wake...Simba ni nomaa...
Mzeee unachanganyikiwa Sasa68'
Goooooooooooal
Wydad wanaandika bao la pili baada ya uzembe wa kipa kutoka kwenda kukaba mpira na kuliacha lango.
Kipa kapigwa chenga ikapigwa pasi ikamkuta muuaji kafumua shuti kali na kuandika bao la pili.
Huu uzembe huwezi kuuona anafanya Diarra
Lingeibeba Yanga usingesema hiliMsimu ujao CAF wapitie upya Sheria ya Goli la ugenini kama walivyofanya kwingineko.
Na zote zimeonja kichapo kwa SimbaMechi za WAKUBWA hizi.
Sio kule kwa LOSERS.
TIMU zote mbili zimecheza na Simba kwa Miaka hii mi 3.
TIMU Moja Imepata kocha kutoka Simba.
TIMU Moja ULIPATA mchezaji kutoka Simba.
MCHEZO MWEMA WAKUBWA.
Usikurupuke, mi sio Yanga wala sio Simba. Huwa sioni tu kwanini mmoja apite Ilhali aggregate ni sawa. UEFA walibadili hii Sheria. Game haiwezi kuwa the same, yaani kwa kuwa tulitoka moja moja kwangu kwako tutoke bilabila Mimi niwe nimepoteza. Why? Kuna factors mbalimbali zinazoaffect Hali ya mchezo hadi kuona variationLingeibeba Yanga usingesema hili
Achana na mbumbumbuu atakuumiza kichwaHuna akili hawa al ahly kwenye hizo hatua zenu za robo kuja chini anakuaga wakawaida tu msimu huu yenyewe nusura ashike mkia kwenye kundi alikula 5 na maswandana
National Al Alhy ni balaa Sana mkuu.. waulize Esperance de TunisiaAl Alhy washaitia game ugumu, Wydad wanahitaji goli moja wabebe ndoo.
Hili swala limekaa kiuchumi zaidi, waafrika wengi bado hawana neema ya kusafiri kwenda neutral grounds tofauti na ulaya, hivyo mapato hupotea sana.Kulikuwa na mgogoro mmoja ulitokea ulivuruga sana mechi kwenye moja ya fainali za CAF ndio hapo wakaamua wakae waangalie namna ya kutatua changamoto ni kuweka fainali mbili.
Kumbuka 2004-2019 fainali zilikuwa zinachezwa mara mbili. Ilipofika 2020 sheria ikafutwa kukawa na single leg iliyochezwa kwa misimu takribani mitatu.
Saizi imerudishwa upya kufuatia maoni ya wakurugenzi wenyewe wa CAF baada ya matukio kadhaa ya fainali kuonesha umuhimu wa dual legs final.
I think Moja bila mkaliAl Alhy washaitia game ugumu, Wydad wanahitaji goli moja wabebe ndoo.
Mamelod nae alishindwa kuwatoa.Hawa wydad ni zaidi ya wabovu ilikuwaje Simba akashindwa kuwatoa hawa.
Huwa huachi kuchombeza [emoji23]Uzi umejaa mipasho jamani kuna watu bado wana maumivu sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]