FT | CAFCL Final: Al Ahly SC 2-1 Wydad AC | First leg 04/06/2023

FT | CAFCL Final: Al Ahly SC 2-1 Wydad AC | First leg 04/06/2023

Scars

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
48,055
Reaction score
116,512
Baada ya kushuhudia mechi ya USM ALGER dhidi ya Yanga sasa ni muda wa kuangalia mchezo mkubwa na wenye heshima zaidi.

Ni mechi kati ya mabingwa watetezi dhidi ya mabingwa wa muda wote kwenye hii michuano.

Mchezo ni saa 3 kamili usiku

Kumbuka ni fainali itayochezwa mara mbili.

Hizi hapa ni head to head

Aggregate kubwa iliyowahi kushuhudiwa miamba hii ikipambana

Screenshot_20230604-202302.png



Hizi ni H2H za miaka ya hivi karibuni

Screenshot_20230604-203522.png

Screenshot_20230604-204058.png

**************************


Vikosi kwa timu zote mbili

Al Ahly Sc

Screenshot_20230604-204228.png


Wydad Casablanca

wacofficiel-20230604-0001.jpg
 
Mechi za WAKUBWA hizi.

Sio kule kwa LOSERS.
TIMU zote mbili zimecheza na Simba kwa Miaka hii mi 3.

TIMU Moja Imepata kocha kutoka Simba.
TIMU Moja ULIPATA mchezaji kutoka Simba.

MCHEZO MWEMA WAKUBWA.
 
Msimu ujao CAF wapitie upya Sheria ya Goli la ugenini kama walivyofanya kwingineko.
Kulikuwa na mgogoro mmoja ulitokea ulivuruga sana mechi kwenye moja ya fainali za CAF ndio hapo wakaamua wakae waangalie namna ya kutatua changamoto ni kuweka fainali mbili.

Kumbuka 2004-2019 fainali zilikuwa zinachezwa mara mbili. Ilipofika 2020 sheria ikafutwa kukawa na single leg iliyochezwa kwa misimu takribani mitatu.

Saizi imerudishwa upya kufuatia maoni ya wakurugenzi wenyewe wa CAF baada ya matukio kadhaa ya fainali kuonesha umuhimu wa dual legs final.
 
6'

Bado game ipo open timu zinaogopana hakuna shambulizi la hatari lililofanywa
 
Back
Top Bottom