Nazi Ignition
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 1,740
- 4,859
Nilisema hapa mamelodi out!Ukweli mchungu mamelodi anaweza kutolewa game hii.
Mnisamehe mimi nashabikia Sundowns
Wapuuzi sannaKwaheri ya kuonana Mamelodi..mmezidi ubishoo mabwege nyie
Unadhni kwanini uongozi wa Wydad wakatimu kocha?mamelodi 2 na whydad 2 kweli simba walikutana n akitu kizito
Wana jikuta wa BrazilKwaheri ya kuonana Mamelodi..mmezidi ubishoo mabwege nyie