FT: CAFCL: Mamelodi Sundowns 2-2 Wydad Casablanca | Live Updates | Mei 20, 2023

FT: CAFCL: Mamelodi Sundowns 2-2 Wydad Casablanca | Live Updates | Mei 20, 2023

Hata nami mawazo yako kwangu ni upuuzi tu, mmiliki wa Mamelody Sundowns akiwa Bosi wa CAF ndiye ana warranty ya kutendewa haki kwa 100% ilihali hata Ulaya tunashuhudia mbeleko kila siku?

Au ulisahau yule Kocha aliyeibeba Barcelona kwa kuifunga PSG 6-1 hadi alishushwa kuchezesha Europa badala ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Andika vizuri wewe, KOCHA aliyeibeba barca ndio kocha gani wewe?
 
Hii michuano ya Africa ni magumashi tu yaan mambo yetu kivyetu vyetu kwann wasiige huko ulaya? Sasa hapo 2:2 na mechi iliyopita ilikuwa draw pia kwann wasiongeze dk tumpate mshindi wa kweli?

Haya njoo kwenye final eti home and away, sasa final gan inakuwa na mechi 2?
Ulaya nao walianzia Ivo Ivo ambacho bado tunakifanya sisi
 
Ulaya nao walianzia Ivo Ivo ambacho bado tunakifanya sisi
Sheria nyingi na kanuni za mpira tzinaanzia huko ulaya sisi tunafuata sasa kwenye hili wameshindwa nn kuoga ulaya kama wenye mpira wao waliona hizo Sheria ni mbovu?

Hii inaonyesha bado tuko nyuma sana.
 
Back
Top Bottom