FT: CAFCL: Mamelodi Sundowns 2-2 Wydad Casablanca | Live Updates | Mei 20, 2023

FT: CAFCL: Mamelodi Sundowns 2-2 Wydad Casablanca | Live Updates | Mei 20, 2023

Uliona rafu aliyochezewa Mayele juzi kati kule dhidi ya mchezaji wa Marumo Gallants hadi Kocha Nabi aliwalalamikia waamuzi wa mpira pale pale uwanjani?

VAR haikuhusika kabisa ila ilikuwa rafu sawa na za wachezaji wa Mamelody Sundowns waliopewa red cards kwenye mechi ya awali dhidi ya Wydad Casablanca, Waarabu nnje ya uwanja huwa wana fitina sana labda uamue tu kukaza fuvu lako.



Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hayo mambo ya sijui mwarabu anapendelewa ni upuuzi tu, simba na yanga mara kibao zimewafunga waarabu, halafu sasahivi boss wa caf ni msouth,
 
Sahihi kabisa kasro tu msimu wa 2018/2019 pekee ambapo Tp Mazembe ilimto Simba na hawakufika fainali

2020/2021 Kaize chiefs klabu bingwa
2021/2022 Orlando pirates Shirikisho
2022/2023 Wydad klabu bingwa
2020/ 2021 Bingwa Al ahly
2021/ 2022 Bingwa rs berkane
 
Huwezi amini Al Ahly aliyeponea chupu chupu kutolewa makundi, eti ndo anakua Bingwa.

Football ina maajabu yake lol
 
Huwezi amini Al Ahly aliyeponea chupu chupu kutolewa makundi, eti ndo anakua Bingwa.

Football ina maajabu yake lol

Al ahly hata mwaka jana aliponea chupu chupu kutolewa makundi. Ila bado akafika fainali.

Kwenye makundi huwa anapuuzia puuzia sana
 
Roho imeniuma sana Mamelody kutolewa yani fainali inaenda timu ambayo haitakuwa na ushindani kulingana na ukubwa wa mpinzani ambaye tayari alikwisha pita hatua ya nusu fainali
Mwaka jana walioingia final n hawa hawa na bingwa kawa wydad na anaweza beba tena
 
Hii michuano ya Africa ni magumashi tu yaan mambo yetu kivyetu vyetu kwann wasiige huko ulaya? Sasa hapo 2:2 na mechi iliyopita ilikuwa draw pia kwann wasiongeze dk tumpate mshindi wa kweli?

Haya njoo kwenye final eti home and away, sasa final gan inakuwa na mechi 2?
Africa kila kitu ni shida ndugu yangu 😆
 
Hawa Mamelody shida ilianzia kule Kwa Waarabu zile red cards walizopata kule zimewaharibia sana
 
Sahihi kabisa kasro tu msimu wa 2018/2019 pekee ambapo Tp Mazembe ilimto Simba na hawakufika fainali

2020/2021 Kaize chiefs klabu bingwa
2021/2022 Orlando pirates Shirikisho
2022/2023 Wydad klabu bingwa
Kwa hiyo misimu yote hii simba hajawahi kupata suluhu ya kuvuka hiyo hatua!?
Ukiongeza na Ile ya mazembe!?Kuna shida
 
Back
Top Bottom