Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Wasauzi waendelee tu kukaza upo wakati nyota itahamia upande wao, hakuna kukata tamaa kamwe.That goes direct kwa timu yao ya Taifa Bafana Bafana, wana ligi nzuri, ngumu na yenye ushindani lakini timu zao hazifiki mbali mashindano ya ngazi ya club na timu ya taifa
Hata Spain ilikuwaga nzuri sana miaka ya 2000 lakini walikuwa wanatolewa mapema tu kwenye World Cup na EURO champions league, hatimaye kuanzia miaka ya 2012 ndipo nyota yao ikaanza kung'aa hadi hivi sasa wamo miongoni mwa timu bora duniani.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app