FT: CAFCL: Mamelodi Sundowns 2-2 Wydad Casablanca | Live Updates | Mei 20, 2023

FT: CAFCL: Mamelodi Sundowns 2-2 Wydad Casablanca | Live Updates | Mei 20, 2023

Hata UEFA walifuta, hawa CAF wajinga sijui wanasubiri kitu gani, wako slow kama robots!.
Nadhani baada ya Michuano hii nao watafuta. UEFA wamefuta hapo majuzi tu.

Tusiwalaumu. Hawajachelewa. Ilikuwa hivi hata huko.
 
Hawa wydad waende kukabidhi tu kombe kwa al ahly. Hizi mbwa zime tunyima fainali ya kibabe
 
Roho imeniuma sana Mamelody kutolewa yani fainali inaenda timu ambayo haitakuwa na ushindani kulingana na ukubwa wa mpinzani ambaye tayari alikwisha pita hatua ya nusu fainali
 
Kabisa, sema watu wengi hili hawalioni.
Huo ni mtizamo hasi mzee, hizo cards walipewa na Wydad?! Walifanya makosa wakaadhibiwa na refa kwa rafu zao mbaya labda kama hakuangalia hiyo game. Acha watoke, kwakifupi hawa jamaa ni wajuaji sana sawa na timu ya Taifa ya Brazil. Wameshindwa kufunga goli kipindi cha kwanza, cha pili baada ya kupata goli la kwanza wakaanza show game likarudishwa, wakafunga la pili wakarudia ujinga ule ule wakajifunga. Sasa hapo kosa la mwarabu ni nini?! Acheni chuki binafsi hawa Masandawana wametolewa kwa ujinga wao
 
Back
Top Bottom