FT: CAFCL: Mamelodi Sundowns 2-2 Wydad Casablanca | Live Updates | Mei 20, 2023

FT: CAFCL: Mamelodi Sundowns 2-2 Wydad Casablanca | Live Updates | Mei 20, 2023

Roho imeniuma sana Mamelody kutolewa yani fainali inaenda timu ambayo haitakuwa na ushindani kulingana na ukubwa wa mpinzani ambaye tayari alikwisha pita hatua ya nusu fainali
Lakini msimu uliopita ndo huyo huyo alimpasua
 
Huo ni mtizamo hasi mzee, hizo cards walipewa na Wydad?! Walifanya makosa wakaadhibiwa na refa kwa rafu zao mbaya labda kama hakuangalia hiyo game. Acha watoke, kwakifupi hawa jamaa ni wajuaji sana sawa na timu ya Taifa ya Brazil. Wameshindwa kufunga goli kipindi cha kwanza, cha pili baada ya kupata goli la kwanza wakaanza show game likarudishwa, wakafunga la pili wakarudia ujinga ule ule wakajifunga. Sasa hapo kosa la mwarabu ni nini?! Acheni chuki binafsi hawa Masandawana wametolewa kwa ujinga wao
Uliona rafu aliyochezewa Mayele juzi kati kule dhidi ya mchezaji wa Marumo Gallants hadi Kocha Nabi aliwalalamikia waamuzi wa mpira pale pale uwanjani?

VAR haikuhusika kabisa ila ilikuwa rafu sawa na za wachezaji wa Mamelody Sundowns waliopewa red cards kwenye mechi ya awali dhidi ya Wydad Casablanca, Waarabu nnje ya uwanja huwa wana fitina sana labda uamue tu kukaza fuvu lako.



Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom