Huo ni mtizamo hasi mzee, hizo cards walipewa na Wydad?! Walifanya makosa wakaadhibiwa na refa kwa rafu zao mbaya labda kama hakuangalia hiyo game. Acha watoke, kwakifupi hawa jamaa ni wajuaji sana sawa na timu ya Taifa ya Brazil. Wameshindwa kufunga goli kipindi cha kwanza, cha pili baada ya kupata goli la kwanza wakaanza show game likarudishwa, wakafunga la pili wakarudia ujinga ule ule wakajifunga. Sasa hapo kosa la mwarabu ni nini?! Acheni chuki binafsi hawa Masandawana wametolewa kwa ujinga wao