FT: CAFCL: Mamelodi Sundowns 2-2 Wydad Casablanca | Live Updates | Mei 20, 2023

FT: CAFCL: Mamelodi Sundowns 2-2 Wydad Casablanca | Live Updates | Mei 20, 2023

Hawa Wadady hawana ubora wowote ni wakawaida sana, ila Mamelody wamezingua walichukuliwa poa / walikariri mbaya zaidi kocha wao akakosa mbinu
Watu walikuwa wanapiga kelele humu kuhusu MAMELOD, yani kisa Wydad alisumbuliwa na Simba Sc basi eti akawa ni mbovu[emoji23]. Watu wanashindwa kuelewa CAFCL ni heavy weoght competitions.

Mamelod nae ni mbovu sasa, tukubaliane hapa.

Hata huku CAFCC ni vyema watu wakafurahi wakati ambao nafasi bado wanayo, kwasababu ni HAKIKA kuwa kombe haliwezi kuja Tz.
 
Mamelodi ndio timu pekee iliyo aga mashindano bila kupoteza mechi! Football ina maajabu yake
img_1_1684651606403.jpg
 
Hayo mambo ya sijui mwarabu anapendelewa ni upuuzi tu, simba na yanga mara kibao zimewafunga waarabu, halafu sasahivi boss wa caf ni msouth,
Hata nami mawazo yako kwangu ni upuuzi tu, mmiliki wa Mamelody Sundowns akiwa Bosi wa CAF ndiye ana warranty ya kutendewa haki kwa 100% ilihali hata Ulaya tunashuhudia mbeleko kila siku?

Au ulisahau yule Refa aliyeibeba Barcelona kwa kuifunga PSG 6-1 hadi alishushwa kuchezesha Europa badala ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna ujinga waliofanya hii ni football sometimes inakuaga na matokeo ya ajabu
Hayo ni maroboti ya kucheza mikeka ilihali yanaelewa vizuri sana kuwa mpira huwa hautabiriki kimatokeo.

Wamejisahaulisha 2019 Liverpool anapindua meza kwa kumpiga Barcelona 4-0 kwenye UEFA CHAMPIONS LEAGUE ilihali mechi ya awali Liverpool alishafungwa 3-1?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hawa Wadady hawana ubora wowote ni wakawaida sana, ila Mamelody wamezingua walichukuliwa poa / walikariri mbaya zaidi kocha wao akakosa mbinu
Final 2 mfululizo, bingwa mtetez.. hana ubora?? Unavuta bangi ya wapi
Historia yao

2016 – Semi-finals
2017 – Champion
2018 – Quarter final
2018–19 – Runner-up
2019–20 – Semi-finals
2020–21 – Semi-finals
2021–22 – Champion

Kawaida n ipi?? Yan timu ikicheza na timu za bongo lazima itafutiwe jina baya tu punguzen dharau

Historia ya memelod

2016 Champion
2017 Quarterfinals
2018 Group Stage
2018–19 Semi final
2019–20 Quarterfinals
2020–21 Quarterfinals
2021–22 Quarterfinals
Msimu huu Semi-finals
 
[emoji1787][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787]watanzania wanajua ubora wa timu ni ule unaofunga magoal matano au kupiga pasi 1000 kama Barcelona, wydad ananikumbusha Madrid aliyechukua uefa 3 mfululizo
 
Final 2 mfululizo, bingwa mtetez.. hana ubora?? Unavuta bangi ya wapi
Historia yao

2016 – Semi-finals
2017 – Champion
2018 – Quarter final
2018–19 – Runner-up
2019–20 – Semi-finals
2020–21 – Semi-finals
2021–22 – Champion

Kawaida n ipi?? Yan timu ikicheza na timu za bongo lazima itafutiwe jina baya tu punguzen dharau

Historia ya memelod

2016 Champion
2017 Quarterfinals
2018 Group Stage
2018–19 Semi final
2019–20 Quarterfinals
2020–21 Quarterfinals
2021–22 Quarterfinals
Msimu huu Semi-finals
Wydad ni bora kuliko mamelod.
 
Back
Top Bottom