Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani mamelod hawakuaga ugenini? na wao si wanagol la ugeniniGoli la ugenini ni ufala. CAF wafute huu upuuzi
Tena wale wahuni wa Yombo vituka.Mamelody ni kikundi cha wahuni .......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo nilikua nauwaza sahivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna Mwamba aliwahi kuleta uzi unaosema "Mamelody Sundowns are overated" nadhani leo watu watakubaliana nae
Hongera sana Wydad Casablanca [emoji122][emoji122][emoji122]
AiseeHii mechi jana niliangalia livescore ilikuwa inaonesha inachezwa usiku saa 4 sijajua mabadiliko ya ratiba yamefanyika au ni livescore walizingua
Kweli, wasipobadilika itawagharimu sana.MAMELODI HANAGA MAARIFA . Ndio maana kila mwaka ni yale yale
Africa bado tunaishi zama za mawe kimpira.Goli la ugenini ni ufala. CAF wafute huu upuuzi
Kwa kweli yn, ni wa kawaida sn tu. Hata walivocheza na al hilal kule sudan walicheza kawaida tuKuna Mwamba aliwahi kuleta uzi unaosema "Mamelody Sundowns are overated" nadhani leo watu watakubaliana nae
Hongera sana Wydad Casablanca [emoji122][emoji122][emoji122]
Una mdondo nn usipende kujisahaulisha mamboNazani Kuna ligi ya NBC ambayo Nabi amebeba back to back mbele ya timu yako unayojivunia nayo, sijui ulitaka kusemaje
Tulia wewe hasira za nini bnaWewe upo kwa hao wakubwa? Afu km timu yako haina kombe lolote usini quote
Walitoka 0-0......kule kwa wydadkwani mamelod hawakuaga ugenini? na wao si wanagol la ugenini
Hata UEFA walifuta, hawa CAF wajinga sijui wanasubiri kitu gani, wako slow kama robots!.Africa bado tunaishi zama za mawe kimpira.
Fifa hawakuwa Wajinga kufuta magoli ya ugenini hivi karibuni.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Caf watafuta hilo goli labda had itokee al ahly atolewe kwa goli la ugenini. Mana wao ndo wtt kipenzi cha cafAfrica bado tunaishi zama za mawe kimpira.
Fifa hawakuwa Wajinga kufuta magoli ya ugenini hivi karibuni.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app