FT: CAFCL: Mamelodi Sundowns 2-2 Wydad Casablanca | Live Updates | Mei 20, 2023

FT: CAFCL: Mamelodi Sundowns 2-2 Wydad Casablanca | Live Updates | Mei 20, 2023

Wame bana wame achia .Plan A ilkua kusubiri penalty [emoji28][emoji28]
 
Mamelody sasa kwenye eneo la hatari hapa lakini mpira unakwenda nje ya lango
 
55'

Wydad wanafika kwenye eneo la hatari lakini nao wanadhibitiwa.

Mamelody wanaanzisha mashambulizi haraka haraka hapa kucheza counter attack lakini mchezaji anachezewa faulo na kuanguka chini.

Refa anapuliza filimbi ni freekick
 
57'
Mamelody wanapiga freekick hapa sio mbali kutoka mpira ulipo hadi kwenye penati box

Wanapiga shuti lakini Wydad wanacheza kwa kichwa kuzuia hatari
 
57'

Kadi ya njano kwa mchezaji namba 13 wa Mamelody
 
Back
Top Bottom