FT: CAFCL: Mamelodi Sundowns 2-2 Wydad Casablanca | Live Updates | Mei 20, 2023

58'
Wydad wanakuja kwa kasi kufanya shambulizi lakini beki anautoa mpira nje na kuwa kona
 
59'

Kona inapigwa lakini mshambuliaji anaujibu kwa kichwa unatoka nje na kuwa goal kick
 
61'

Mamelody wanapiga shuti kipa anafanya save
 
65
Wydad walipata nafasi nzuri ya kusawazisha bao lakini mchezaji kazingua
 
68'
Wydad wanapiga freekick mlinda mlango anaudaka mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…