FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

Watfurah baada ya dakka 90.
Kwa sasa pole yao sana maana hawajawa na uhakika wa kufika alipo kaka yao
 
Kabisa yaani Mkuu Japo pia wana cha kujifunza hasa upande wa kauli zao. 🤣🤣🤣

Na hizo ndo zinafanya tucheke hiki kinachoendelea saa hii. 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…