FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

Sema Mpira furaha kupokezana mpaka Mpira uishe, kuna mashabiki Saa hizi tunacheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila Simba watafurahi baadae Acha sasa tuburudike.

Kila la kheri SIMBA , nilisema nawaombea ila mkifungwa kuchekwa kupo palepale
Watfurah baada ya dakka 90.
Kwa sasa pole yao sana maana hawajawa na uhakika wa kufika alipo kaka yao
 
Sema Mpira furaha kupokezana mpaka Mpira uishe, kuna mashabiki Saa hizi tunacheka 🤣🤣🤣🤣🤣 ila Simba watafurahi baadae Acha sasa tuburudike.

Kila la kheri SIMBA , nilisema nawaombea ila mkifungwa kuchekwa kupo palepale
Kabisa yaani Mkuu Japo pia wana cha kujifunza hasa upande wa kauli zao. 🤣🤣🤣

Na hizo ndo zinafanya tucheke hiki kinachoendelea saa hii. 🤣
 
BADO AMJASEMA YANI MPAKA MTEME BUNGO
download (1).jpeg
 
Back
Top Bottom