Sasa ni kushambulia tu. Kocha ameamua kuchomoa betri. Sema akipigwa counter attack, ndiyo basi tena.Haya sasa kamtoa Mzamiru okay ............ ngoja tuone....
Ila Mzamiru ana kadi ..Haya sasa kamtoa Mzamiru okay ............ ngoja tuone....
KabisaKocha ameonesha udhaifu wake kumuweka Bocco
Kwahiyo kila anaepata kadi moja, sharti atoke..?Ana kadi tayari
Huruma kidogo ndugu zetu hawa🥺Lolote baya liwakute
That is my Happ ness tooFuraha yangu ni kuona mashabiki wa simba wanalia
Agiza soda Apo nalipaNdy watajifunza
Maanaake ni kwamba wafungane 2-2 ndo matuta. Kwa hiyo unavyoangalia yanaweza kujitokeza matokeo hayo?Hii game ikitokea miujiza kwa Simba Sc basi ni kwenda matuta, sioni ushindi wa matokeo ndani ya dk 90.
Ndo hivyo hakuna namna.Jamn mm boko singa Iman naye 🙆🙆
Kocha ameshagundua Wazambia wanalinda goli lao. Hivyo ameamua kujilipua. Maana hana namna nyingine. Lazima ashambulie ili apate sare ya 1-1, au ushindi.Sijui nani atakaba sasa na bacca hayupo alikuwa anauwezo wakupanda juu kidogo Che Malone leo utapata tabu sana
Karia yupo atawabebaHii game ikitokea miujiza kwa Simba Sc basi ni kwenda matuta, sioni ushindi wa matokeo ndani ya dk 90.