General Fidel MartialKochi inabidi amuingize Phili
Biblia yako inakuambia kwwnye kitabu cha muhubiri kila jambo na wakati wake....Theology inasemaje katika hili?😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
Lugha imebadilikaHongera mtani kwa kufuzu
Watajifunga pia huko nako!!Ila simba inahuzunisha sana! Yaani inafuzu hatua ya makundi kwa msaada wa goli la kujifunga! Hivi huko makundi kwenyewe si itaenda kushika mkia kwa aina hii ya mpira!!