Hii kidogo ningeikosa, nilidhani ni saa 1 kama jana!Usiku simba haoni mbugani
Ndio mpira wenu mliozoeaHatujatulia bado. Tunabutua butua sana.
Inawezekana kuna mabadiliko yatafanywa baada ya African Football league.Kwa mpira huu simba haifiki mbali
Matumaini ni makubwaTulieni
Ule tuliochukulia ngao ya hisani.Ndio mpira wenu mliozoea
Haya bwana papatu papatu ndio zenu hizoUle tuliochukulia ngao ya hisani.
Yaani kwa hizi dakika hata kumi hazijafika umeshatoa hukumu?Kwa mpira huu simba haifiki mbali