Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mod wanajua hii mechi kuna ntu anapigwa.
Wakubwa wanacheza usiku.Hivi kwanini mechi za Simba inakuwaga jioni Yanga usiku?
hizi dharau za mashabiki wa simba leo zitawatokea puani, tupo hapa...simba akipakatwa hamtaamini mkishikwa pumbu zenu chafuHii ndio mechi sasa sio wale pwagu na pwaguzi waliocheza jana.
FT. SIMBA SC 3 VS 0 POWER DYNAMOS.
KILA LA KHERI SIMBA.
Hivi kwanini mechi za Simba inakuwaga jioni Yanga usiku?
TulieniHatujatulia bado. Tunabutua butua sana.