Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Kwani kumetokea nini huko 😀Ila maisha haya.
Halafu kuna mtu alikaza mishipa ya shingo eti tusubiri leo tuone pira la maana. Mmfffyuuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kumetokea nini huko 😀Ila maisha haya.
Halafu kuna mtu alikaza mishipa ya shingo eti tusubiri leo tuone pira la maana. Mmfffyuuu.
Sawa bibishostiHii ndio mechi sasa sio wale pwagu na pwaguzi waliocheza jana.
FT. SIMBA SC 3 VS 0 POWER DYNAMOS.
KILA LA KHERI SIMBA.
Hii kidogo ningeikosa, nilidhani ni saa 1 kama jana!
Nyau karoa majiNasikia makelele banda umiza la Kipasika hapa
Robertinho fala sana sasa mpira gani huu
utasema sana nyoko we si ulikua unatapa tapa kuwa ninyi ni mabingwa!? kunyeni sasaHuyu kipa tumepigwa kwa kweli. Dah, hili goli hata mimi sifungwi.
Swahiba mtu kashakula kimoja huko. 🤣🤣Kwani kumetokea nini huko 😀
Sasa mbona unanitukana tena mkuu?utasema sana nyoko we si ulikua unatapa tapa kuwa ninyi ni mabingwa!? kunyeni sasa
Nenda katikati ya milingoti tuoneHuyu kipa tumepigwa kwa kweli. Dah, hili goli hata mimi sifungwi.