FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

Tunapoteza pasi za muhimu. Tumekandwa
Pole
20230726_165738.jpg
 
Sema Mpira furaha kupokezana mpaka Mpira uishe, kuna mashabiki Saa hizi tunacheka 🤣🤣🤣🤣🤣 ila Simba watafurahi baadae Acha sasa tuburudike.

Kila la kheri SIMBA , nilisema nawaombea ila mkifungwa kuchekwa kupo palepale
 
Back
Top Bottom