Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aahaaaaa,biashara kwanza mapenzi baadaeNa wao wa mioyo Mkuu. 😅😅
Hivi nani alimleta?Oya Humu Hamna Kipa Walah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa kweeli.Aahaaaaa,biashara kwanza mapenzi baadae
Aibu naona miyeeeeeHii ndo timu ya kuitafuta nusu fainali CAF? [emoji23][emoji3]
Nilifikiri ni nyoka kasimama kumbe mtu!Kuna nini huko wana lunyasi ?View attachment 2768567
Huyo jamaa inawezekana mawazo yake hayako uwanjani.Yanakuja mpira ukimkaribia.Huyu golie wa simba ni matatizo
Hata mimi nimeshangaaModerator ni shabiki wa simba
Badili ubao huo