Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
toka jana nilihisi hii timu inakwenda kulitia doa taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naitwa Pawa Damian naitakia ushindi power dynamoNaitwa Dotto kutoka Nyakanazi. Naitakia Pawa Dainamo ushindi wa goli mbili. Ujumbe, michezo ni upendo.
Huyu kipa huyu
Sawa saa 12 msijesema hatukuwapa mudaNipo jamani niliwaambia tukutane saa 12...
Hawana Kasi mipira inapigwa wapinzani wanaiwahi...wazito haswaaTukubali tu kuwa kuna wachezaji weshakuwa wazee tutafute mbadala. Vikao vya mila ndo hujaza wazee sio timu za mpira.
Kama wabovu zaidi, unatarajia nini?Hawa Power Dynamos ni mbovu sijui simba wanakwama wapi
Naitwa Kilimba toka Iramba,ningependa kuwatumia salamu mtani wangu GENTAMYCINE Scars na Greatest Of All Time